Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam
Huduma na Sifa
Maelezo
(500,000X3)KIMARA KOROGWE 1.7KM BAJAJI 700..NJIA NIZEGE TUPU
ββ
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
π‘ APARTMENT YA KUPANGISHA β KIMARA KOROGWE π
Apartment itakuwa wazi tarehe 20 mwezi huu baada ya mpangaji wa sasa kuhama. Unaweza kuja kuiona na kufanya malipo mapema ili ku-reserve nyumba yako.
π Mahali: Kimara Korogwe
β¨ Kisasa β’ Starehe β’ Usalama
π Airbnb inaruhusiwa
π VITU VILIVYOMO
ποΈ Chumba 1 cha Master β Self Contained
ποΈ Sebule kubwa yenye nafasi ya kutosha
π½οΈ Jiko la kisasa lenye kabati zilizojengwa ndani
π HUDUMA BURE
π§ Maji β BURE
π§Ή Usafi β BURE
π‘οΈ Ulinzi β BURE
β‘ UMEME
π‘ LUKU β Mpangaji anajilipia mwenyewe
π° GHARAMA
π Kodi 500,000 kwa mwezi
π
Malipo: Miezi 3 mbele
π΅ Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu.
Service charge elf 20
CONTACT US:















