Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Maduka Matatu, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 200,000
Aina
Apartment
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
8minute
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Tiles
Gypsum
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Uzio
Maelezo
Apartimenty Inapangishwa Ipo kimara maduka matatu
Usafiri.bajaji.Hiac tax. Buku ukishuka unatembea dk 8
Muundo wanyumba
Chumba master kubwa sebule kubwa
Inatiles gupsam aluminium
Inajitegemea umeme namaji
Ipo ndani yafensi
Kodi 200x6
Kuona nyumba elfu 20
Utamlipa Dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Cal
0713 320 608
0686 334 182
