Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
——
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK6 KWA BODA KUTOKA LAMI
-----
Chumba master
Seble kubwa
Jiko
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-----
Service charge 20,000
Kodi 300,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
-------
Contact
#0688617926
#0655256419















