Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Kimara, Dar Es Salaam
11 minutes ago
Sh. 300,000/month

Maelezo

:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 300k

#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO

𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: umbali km2 kutoka kimara mwisho mwendo kasi usafira bajaji daladala zipo ukisguka unatembea Kwa Mguu Dakika 3 tu upo kwenye nyumba

𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Kikubwa Cha Kulala Master
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Sana cha Wageni

Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking Ipo Kubwa.

Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.

𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6

𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.

DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

  • Air Conditioning

  • Maji

  • Parking Space

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 370,000/month

  • Tiles

  • Gypsum

  • Luku Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Maji

  • Luku Inajitegemea

  • Sliding Windows

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Parking Space

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • (Fence) Ukuta