Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
Huduma na Sifa
Maelezo
(MPYAA KODI 400,000/=×6 ) NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Location kimara mwisho dk 3 Kutembea
Muundo
#Chumba Master
#Subule
#Jiko linafungwa makabat
#Umeme maji unajitegemea
#Ipo ndani fens
# parking ipo
# Free wi - fi
Angalizo : nyumba mpya unarusiwa kuona kulipia,kuhamia Tarh 15 / 8 / 2026
survey charge 30,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
O677370515 whatsapp number
O688991244 NORMAL CALL















