Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 350,000/month

Maelezo

APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA

Kodi 350,000/= X 6

ITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 05/06/2026 PESA ZINAPOKELEWA

💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING
ULINZI NA MTU WA USAFI NA GARDEN BURE

Kodi 350,000/= X 6

💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

Kwa maelezo zaidi piga :-

0712528820
0685221354

Mr.

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 260,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Paving Blocks

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 260,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Paving Blocks

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Parking Space

  • hasMasterBedRoom

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea