Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kisiwani, Dar Es Salaam

Kisiwani, Dar es Salaam
2 hours ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location kisiwani / darajani
Nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko kali
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment
Asking prince 300k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Umeme luku yako
Maji unajitegemea
Services’s charge ELFU ishilini
Mawasiliano
0628505896
0763954837















