Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Aina
Apartment
Vyumba
1
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Almas
Street) , Dar-Es-Salaam, Tanzania
Ina :
Chumba Kimoja cha Kulala
Sebule
Jiko la Kisasa lenye Makabati
Parking Space
Choo Cha Public
Inajitegemea kwenye Umeme na
maji
Ya Chini ndio iko wazi
Kodi : 350,000 Tsh Kwa Mwezi
Nione dalalimbezibeach _rahimu
Contact 0788002802
WhatsApp 0788783636
Karibuni sana wateja wangu 🙏🙏















