Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Mwisho Msakuzi Center, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
——
🏠 APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA
📍 Location: Mbezi Mwisho – Msakuzi Center
Bajaji 1000 pikipki 2000
✨ Nyumba mpya kabisa zenye mazingira safi na tulivu.
🔹 Aina ya Kwanza: ✅ Chumba, Sebule,choo na Jiko linafugwa makabati 💰 Kodi: TZS 300,000 kwa mwezi x miezi 6
🔹 Aina ya Pili: ✅ Chumba,choo Jiko linafugwa makabati 💰 Kodi: TZS 200,000 kwa mwezi x miezi 6
🌟 Sifa za Nyumba: ✔️ Nyumba mpya kabisa ✔️ Compound yenye nyumba 6 tu ✔️ Paving Blocks ✔️ Mazingira safi na salama ✔️ Umeme wa LUKU (Meter yake binafsi) ✔️ Maji ya Kisima na DAWASA yanapatikana mda wote
📞 Kwenda kuona nyumba 20k
NB: Agent atalipwa kodi ya mwezi mmoja pindi mpangaji atakapolipia nyumba.
Piga simu
##0688617926
##0655256419















