Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mji Mwema, Mara
Mwema, Mara
2 months ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
location Mji mwema mataa
nyumba ina chumba kimoja master na sebule kubwa Nzuri
◾️nyumba iko fenced
◾️nyumba ina parking
◾️nyumba Ina electric ⚡️
◾️nyumba ni apartment
asking price 250k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
malipo miezi mitatu tu
◾️umeme luku yako
◾️maji unajitegemea
◾️services charge Elfu ishilini
◾️mawasiliano
✅
✅

