Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mkimbizi Shayo, Iringa
Mkimbizi, Iringa
3 hours ago
Sh. 150,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
🏠▫️ Apartment Chumba master na sebule
💸▫️ Kodi Tsh 150000
🌍▫️ Location Iringa mkimbizi shayo
⚡▫️Umeme maji unajitegemea
🏘️▫️ Nyumba ipo ndani ya fens
🛣️▫️ Nyumba ipo barabarani kabisa
#tanzania #nyumba #nyumbairinga #kihesa #miyomboni





