Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Sinza Mtogole, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment for rent
Nichumba kimoja kizuri ambacho nimastar bedroom mazingira mazuri unalipa nakuhamia kipo sinza Mtogole bei laki 2 kwa mwezi kodi miezi 6 wakuwah awh
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wadalali
Call
#0716938128_0692198834
#0760097834_call whatsAp















