Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi Kibaga Songasi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

1

Barabara ya Karibu

2minutes

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Mita ya Maji Inajitegemea
Luku Inajitegemea
Paving Blocks
Karibu na Stendi ya Mabasi
Parking Bubwa

Maelezo

Chumba master sebule na jiko inapangishwa bei 350000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6. Umeme na maji unajitegemea. Parking bubwa. Peving block. Kutoka kituoni dakika 2 tu. Hii apartment ipo maeneo ya tabata kinyerezi kibaga songasi dar es salaam

Calls/Whatsapp 0653233641 au 0768682919

Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii