Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Riverside Kibangu, Dar Es Salaam
ID: 260906B2D2X








Ubungo, Dar Es Salaam
6 hours ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Kali
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Dakika 2 Upo home
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 30 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Chumba na Sebule Kubwa sana
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Slide window
Gypsum
Good Environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi











