Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inauzwa Kivule, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

Maelezo

🏘️ APARTMENTS ZINAUZWA – KIVULE, DAR ES SALAAM

Unatafuta uwekezaji wenye kipato cha uhakika? Hii ndiyo fursa yako!

📍 Location: Kivule, Frame 10

✨ Sifa za Nyumba
✅ Apartments 3 mpya kabisa
✅ Kila apartment ina Chumba 1 (Master), Sebule na Choo cha ndani
✅ Choo cha nje kwa wageni
✅ Zipo ndani ya fence
✅ Parking ya kutosha
✅ Maji na umeme vinapatikana

🛍️ Frame 4 za Biashara

* Kila frame inapangishwa kwa TSh 100,000/= kwa mwezi
* Jumla ya mapato ya frame: TSh 400,000/= kwa mwezi

🏠 Apartments 3

* Kila apartment inapangishwa kwa TSh 150,000/= kwa mwezi
* Jumla ya mapato ya apartments: TSh 450,000/= kwa mwezi

💰 Jumla ya Mapato ya Kodi

* TSh 850,000/= kwa mwezi
* TSh 10,200,000/= kwa mwaka

💵 Bei ya Uuzaji: TSh 50,000,000/= tu.

Hii ni fursa bora kwa mwekezaji anayetafuta mali yenye mapato ya uhakika kila mwezi.

Service Charge / Viewing Fee: TSh 20,000/=

📞 Muhitaji piga:

Dalali wako Wakishua
Miliki Kesho Yako Leo!!!

#uwekezaji
#daressalaam
#viwanja
#dalaliwakowakishua

Dalali Tabata

dalaliwakishua

@dalaliwakishua

View Listings

Matangazo mengine Kivule, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba 6 inauzwa Kivule Magole, Dar Es Salaam
6

Sh. 27,000,000

For Sale6 bedsapartment
Kivule, Dar Es Salaam
Apartment ya chumba kimoja inauzwa Kivule, Dar Es Salaam
1

Sh. 50,000,000

For Sale1 bed2 bathsapartment
Kivule, Dar Es Salaam
Apartment ya chumba kimoja inauzwa Kivule, Dar Es Salaam
1

Sh. 50,000,000

For Sale1 bed2 bathsapartment
Kivule, Dar Es Salaam
Apartment ya chumba kimoja inauzwa Kivule, Dar Es Salaam
1

Sh. 50,000,000

For Sale1 bed2 bathsapartment
Kivule, Dar Es Salaam
Apartment inauzwa Kivule, Dar Es Salaam (400 sqm)
1

Sh. 50,000,000

For Sale400 sqmapartment
Kivule, Dar Es Salaam
Dalali Tabata