Apartment ya vyumba 9 inauzwa Kigamboni, Fani City, Dar Es Salaam (800 sqm)

Aina
Apartment
Vyumba
9
Ukubwa
800 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
🏢 APARTMENTI ZA BIASHARA ZINAUZWA – KIGAMBONI, FANI CITY 🏢
Fursa adimu ya kuwekeza kwenye biashara ya nyumba za kupanga! Apartmenti hizi tayari zimekamilika na ziko tayari kuanza kukuletea mapato mara moja.
✨ Muundo wa Apartmenti:
✅ Jumla ya apartmenti 4
✅ Apartmenti 3 zenye vyumba 2, sebule na jiko
✅ Apartmenti 1 yenye vyumba 3 (kimoja Master), sebule na jiko
🏡 Sifa za Kiwanja na Miundombinu:
✔️ Eneo takribani SQM 800
✔️ Full paving
✔️ Kisima cha maji
✔️ Umeme na wiring zimekamilika
✔️ Milango, madirisha na vioo vyote vimefungwa
✔️ Tayari kwa kuingiza wapangaji – hakuna gharama za ukarabati
📍 Mahali: Fani City, Kigamboni
• Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
• Kilomita 12 kutoka Feri
• Kilomita 11 kutoka Daraja la Nyerere
📄 Umiliki: Hati ya Serikali ya Mtaa.
💰 Bei: TZS Milioni 165
Mazungumzo yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.
📞 0769554221
📍Service Charge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestatemarket #realestateagent #tanzania nia















