Tafuta

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Goba Center, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,000,000/month

Maelezo

๐Ÿ“ž 0617433350

๐Ÿšจ๐Ÿ”ฅ MJENGO WA KIFAHARI APARTMENT INAPANGISHWA: GOBA CENTER!๐Ÿ”ฅ๐Ÿšจ

๐Ÿ˜ฑ Hapa sasa ndio kwenye sifa na heshima zote!
Unatafuta kuishi kwenye mjengo wa ghorofa wa kisasa kabisa, wenye muonekano wa kishua na ipo karibu kabisa na barabara kuu ya Goba.

Mzigo huu wa kifahari ndio kwanza umeingia sokoni, changamka kabla haujapochomoka! ๐Ÿš€

๐Ÿ  Sifa za Mjengo Huu:

๐Ÿ›๏ธ Vyumba vitatu (3) vya kulala na VYOTE NI MASTER! (Kila mtu ana faragha yake ya nguvu).

๐Ÿšฟ Kila choo kina HEATER ya maji moto! (Unyama mwingine wa kuoga kwa raha zote bila usumbufu).
๐Ÿ›‹๏ธ Sebule kubwa sana ya kifahari (Huge Sitting room) kwa ajili ya kupokea wageni wako kwa heshima.

๐Ÿฝ๏ธ Jiko kubwa la kisasa kabisa lenye nafasi ya kutosha kwa mapishi ya kueleweka.

๐Ÿ“ Mahali: Goba Center โ€“ Karibu kabisa na barabara kuu! (Hakuna usumbufu wa usafiri wala barabara mbovu).

๐Ÿ’ต Kodi: TSh 1,000,000/= (Milioni Moja) tu kwa mwezi! (Ni ofa ya kipekee sana kwa apartment ya ghorofa ya kiwango hiki). ๐Ÿ’ฐ

โณ USILEMBEZE MAPEMA: Nyumba za ghorofa zenye vyumba vitatu vyote master na zilizopo Goba Center karibu na barabara zinatafutwa kwa udi na uvumba na watu wenye mkwanja wao. Wahi sasa hivi upige simu kabla mwingine hajalipia kodi ya mwaka mzima leo! ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ’จ

๐Ÿ“ž Mawasiliano ya haraka, piga simu sasa hivi:
๐Ÿ‘‰ ๐Ÿ“ฑ 0617433350 ๐ŸŽฏ

Matangazo mengine Goba, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 650,000/month

For Rent2 bedsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Centre, Dar Es Salaam

Sh. 750,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 550,000/month

For Rent2 beds3 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Simba Oil, Dar Es Salaam

Sh. 550,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Njia 4, Dar Es Salaam

Sh. 550,000/month

For Rent2 beds3 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Kwa Awazi, Dar Es Salaam

Sh. 650,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

For Rent1 bed1 bathapartment