Tafuta

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000/month

Maelezo

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA KM1 .5 KUTOKA LAMI
---
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Heater ya maji moto maji baridi
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-----
Service charge 20,000
Kodi 500,000x6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara

#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA πŸ™

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam