Tafuta
-
-

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 3,900,000

Aina

Apartment

Vyumba

3

Barabara ya Karibu

7m — Morogoro Road

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Public Toilet
Parking Space
Umeme
Mita ya Maji Inajitegemea
Tiles
Makabati

Maelezo

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 650,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI KODI YA MWEZI MMOJA 650K

💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA NA VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI

#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 650,000/= X 6

💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KUONA NYUMBA

MAWASILIANO 0656623510

WSP 0752436347