Tafuta

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 650,000/month

Maelezo

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI KODI YA MWEZI MMOJA 650K

💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA NA VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
PARKING KUBWA
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 650,000/= X 6

💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DAKIKA 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20

DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
___
PICHA SIMU

Matangazo yanayofanana Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 260,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Parking Space

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Parking Space

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 260,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 260,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea