Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tegeta Wazo Msigani, Dar Es Salaam
Wazo, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 400,000/month
Aina
Apartment
Vyumba
3
Bafu
3
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT YA KISASA YA KUPANGISHA – TEGETA WAZO (MSIGANI), DAR ES SALAAM
📍 Location: Tegeta Wazo – Msigani
Kodi: TSh 400,000 kwa mwezi
Malipo: Miezi 4
Sifa za Nyumba:
Vyumba 3 vya kulala (vyote Master)
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Mabafu na vyoo vya ndani
Makabati
Contact us now
LOYAL ELLY











