Tafuta

Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Upanga, Dar Es Salaam

video thumbnail
$ 265,000

Maelezo

πŸ™οΈ APARTMENT YA KIFAHARI INAUZWA – UPANGA, DAR ES SALAAM

Miliki apartment ya kisasa katikati ya jiji kwenye moja ya maeneo yenye hadhi na usalama wa hali ya juu.

✨ Muundo wa Apartment
βœ… Vyumba 3 vya kulala (2 Master Bedroom)
βœ… Sebule kubwa yenye balcony
βœ… Dining
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Store
βœ… Choo cha wageni
βœ… Vyumba vyote vina balcony

Apartment hii imejengwa kwa viwango vya kisasa, ikiwa na finishing bora na nafasi kubwa kwa familia.

πŸ“ Location: Upanga – City Centre

Ni chaguo bora kwa wanaofanya kazi Posta, CBD, Kariakoo na maeneo mengine ya katikati ya jiji. Ufikaji ni rahisi, hakuna usumbufu wa safari ndefu, na eneo ni tulivu, salama na la kifahari.

πŸ’° Bei: USD 265,000

πŸ’³ Mpango Rahisi wa Malipo
Lipa USD 135,000 kama down payment, kisha malizia salio kwa installments ndani ya miaka 2–3, huku ukiwa tayari umehamia na kuanza kuishi kwenye apartment yako.

πŸ’Ό Fursa ya Uwekezaji
Apartment kama hii katika eneo la Upanga inaweza kupangishwa kuanzia TSh 7,000,000 kwa mwezi, huku mahitaji ya wapangaji yakiwa makubwa mwaka mzima.

🌟 Amenities
βœ”οΈ Standby Generator
βœ”οΈ Maji ya uhakika 24/7
βœ”οΈ CCTV Security
βœ”οΈ Gym
βœ”οΈ Parking ya kutosha
βœ”οΈ Ulinzi wa kampuni masaa 24

Hii ni nyumba bora kwa makazi ya kifamilia au uwekezaji wenye faida ya muda mrefu.

πŸ“ž Muhitaji piga: +255 688 412 890

Service Charge / Gharama ya Huduma: TSh 30,000/=

Dalali Wako Wakishua
Miliki Kesho Yako Leo!!!

Matangazo mengine Upanga, Dar es Salaam