Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

Maelezo
Apartment Inapangishwa:
(Zipo Kwenye fensi)
Location :: GOBA NMB BANK
Bei yake :: 750,000Tsh kwa mwezi x 5
Muundo wa nyumba;
๐ก๏ธVyumba viwili (Kimoja Masta)
๐ก๏ธSebule kubwa
๐ก๏ธJiko lenye makabati
๐ก๏ธChoo cha wageni
๐ก๏ธPaving Blocks
๐ก๏ธElectric Fence
๐กHeather
Call/Whatsapp;
#0685 006223
#0718 759287















