Tafuta
-
-

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Njia Nne, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 500,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Huduma na Sifa

Public Toilet
Tiles
Jiko kubwa

Maelezo

APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;

💧Location :: GOBA NJIA NNE - Nash Park

💧Bei 500,000Tsh kwa Mwezi

Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri kubwa
📍Fence

Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0718 759287
0685 006223

Call /Whatsapp