Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Njia Nne, Dar Es Salaam

Maelezo
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE
💧Bei :: 600,000Tsh Malipo Miezi 3
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri kubwa
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
07 451 15040
Call /Whatsapp















