Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡✨ APARTMENT KALI INAPANGISHWA – KIBADA, KIGAMBONI ✨🏡
📍 Ipo Kibada, Kigamboni katika mazingira mazuri, salama na tulivu.
âś… Vyumba 2 vya kulala
âś… Sebule ya kisasa
âś… Jiko kubwa na la kisasa
âś… Full AC
âś… Parking kubwa ya magari
âś… Mazingira safi na yenye usalama
âś… Apartment ya kisasa yenye hadhi
đź’° Kodi: TSh 700,000 tu kwa mwezi
📞 Call & WhatsApp: +225746407197
📲 Instagram: @dalalikigamboni_simba
🔥 Apartment ya kisasa yenye nafasi kubwa ya parking, full AC na mazingira bora ya kuishi. Wahi kuwasiliana nasi leo kabla haijachukuliwa!
#ApartmentForRent #KibadaKigamboni #KigamboniHomes #NyumbaInapangishwa #DarEsSalaam DalaliKigamboniSimba FullAC ParkingKubwa ApartmentLife HouseForRent KigamboniRentalHomes 🏡✨















