Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibada Shangwe, Dar Es Salaam
Kibada, Dar Es Salaam
20 hours ago
Sh. 600,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location kibada shangwe
Nyumba ina vyumba Viwili Kimoja master sebule na jiko kali
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment
Asking price 600k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Maji bule
Umeme luku yako
Services charge elfu ishilinii
Mawasiliano















