Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba Chama, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
#APARTMENT_FOR RENT KIBAMBA CHAMA
.
.
Ina vyumba viwili vya kulala vikubwa (kimoja master), Sebule kubwa, Jiko kubwa na Choo cha familia
.
.
kodi 300,000/= × 6
.
.
Nyumba Ipo Kibamba Chama njia ya kwenda Hospitali ya muhimbili (Mloganzila) Umbali wa Kilometa moja kutoka lami
.
.
Kwenye fensi zipo mbili tu, na Hii ndio ipo wazi
.
.
Kila Apartment Inajitegemea Umeme na Maji, pia maji yanatoka ndani
.
.
Service Charge ni 20,000/=
.
Contact 0659244543















