Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
700m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWAA🪴
_____________>>
📍MAHALI - KIBAMBA SHULE
UMBALI KUTOKA BARABARANI MITA 700
_____________<<
🚪MUUNDO
-Vyumba V2 Vya kulalaa(kimoja master)
-Sebule
-Dinning
-Jiko zuri
-Public toilet
______________>>
HUDUMA
-Umeme upo unajitegemea
-Maji unajitegemea
-Parking space kubwa
-Iko ndani ya Fensi
-Usalama wa kutosha
_______________<<
💰MALIPO
~Bei ni 350,000 Mwezi
~Muda wa malipo miezi 6+
_______________>>
NB: MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA.ATALIPIA MTEJA😎
☎️MAWASILIANO #0625606710🏠wahiii















