Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam







Kibamba, Ubungo, Dar Es Salaam
3 days ago
Sh. 250,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
500m — Morogoro Road
Huduma na Sifa
Umeme
Mita ya Maji Inajitegemea
Maelezo
PARTMENT ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #250K
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko choo
Kodi 250,000 kwa mwezi × 3
Inajitegemea umeme na maji, floor ya kwanza na 3 ndo zipo wazi
NB: hapo hapo kuna full furnished kwa 600,000 kwa mwezi
Umbali mita 500 kutoka Morogoro road na mita 900 kutoka kituoni
Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
