Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibugumo, Dar Es Salaam
Kibugumo, Dar es Salaam
4 hours ago
Sh. 350,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location kibugumo
Nyumba ina vyumba Viwili Kimoja master sebule na jiko nzuri
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment
Asking price 350k TSH! Per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Umeme luku yako
Maji unajitegemea
Services’s charge Elfu ishilini
Mawasiliano
0628505896
0763954837












