Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
🇹🇿 #APARTMENT NZURI SANA YA KISASA #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe (kwa Mkuwa)
🕑 Kilomita 2 kutoka Mwendokasi, bajaji Tsh 500 tu. Ukishuka unatembea dakika 15, au bodaboda Tsh 1,000 tu mpaka getini.
#SIFA ZA NYUMBA.
🔹 Vyumba viwili vya kulala, kimoja Master
🔹 Sebule
🔹 Hakuna jiko
🔹 Umeme na maji vinajitegemea
🔹 Maji yanapatikana ndani masaa 24/7
🔹 Fenced compound yenye car parking kubwa sana
👉Nyumba hii itakuwa wazi tarehe 20/07/2026 kuona mazingira ya nje na kufanya malipo. Booking inaruhusiwa. Anahitajika mpangaji wa kike vyumba vya wastani Tu.
🔶 Kodi Tsh 200,000/= × 6 miezi
🔶 Malipo ya Dalali Tsh 200,000/=
🔶 Service Charge Tsh 20,000/=
#Piga_simu 📞
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😁
dalali osama contact
0674198120....0757908120















