Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 450,000/month

Maelezo

๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– 450,000 x 6

#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA KOROGWE ๐Ÿ“ KWA MKUA

๐˜ฟ๐™ž๐™จ๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™˜๐™š: umbali km2 kutoka kimara korogwe mwendo kasi au ubungo external usafiri bajaji daladala zipo ukishuka unatembea Kwa Mguu Dakika 10 tu upo kwenye nyumba

๐™Ž๐™ž๐™›๐™– ๐™•๐™–๐™ ๐™š
============
โ€ข Vyumba viwili vya kulala vyote Master
โ€ข Sebule kubwa sana
โ€ข Jiko Kubwa
โ€ข Choo Kizuri Sana cha Wageni

Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking Ipo Kubwa.

Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.

๐™†๐™ค๐™™๐™ž ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™ˆ๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™ž ๐™ฃ๐™ž Tsh. 450,000/- Malipo Miezi 6

Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba

Mawasiliano 0656623510

Wsp 0752436347

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 700,000/month

For Rent3 beds1 bathapartment
Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent3 beds2 bathsapartment
Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

For Rent1 bed1 bathapartment
Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent3 beds2 bathsapartment