Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 300,000/month

Maelezo

🇹🇿 #APARTMENT NZURI SANA NA SAFI INAPANGISHWA – KIMARA KOROGWE

📍 Location: Kimara Korogwe
1km umbali kutoka stand ya mwendo kasi kwa mguu dakika 15 tu bodaboda 1000 tu mpaka getini.

🏡 SIFA ZA NYUMBA.
🔸 Vyumba 2 vya kulala (kimoja Master Bedroom)
🔸 Sebule kubwa na nzuri.
🔸Dinning nzuri
🔸 Jiko la kisasa.
🔸 Public toilet ya ndani.
🔸 Umeme unajitegemea.
🔸 Maji yanapatikana ndani masaa 24/7hrs.
🔸 Nyumba zipo ndani ya fensi packing hamna.
👉Nyumba hii inafaulishwa inakuwa wazi 26/01/2026 kuona ndani na kufanya malipo luksa muda wowote.

GHARAMA
🔹 Kodi: Tsh 300,000 × 6 (Miezi sita)
🔹 Malipo ya dalali: Tsh 300,000
🔹 Service charge: Tsh 20,000

#Piga_simu👇
#📞
&Whatsapp

#please #Follow us🙏

Karibu Sana Mteja😁

......0688617926
......0655256419

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

For Rent1 bed2 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment