Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 400,000
Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
2.5km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Umeme
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Tiles
Public Toilet
Feni
Maelezo
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA – KIMARA mwisho
umbali wa kilomita 2,5 kutoka barabara kuu. usafili bajaji 1000 auboda
🔹 Nyumba ni mpya kabisa
🔹 Zipo ndani ya fensi nyumba 2 tuu
🔹 Vyumba viwili vya kulala (vyote msatr)
🔹 Sebule kubwa ya kisasa
🔹 Public toilet
🔹 Jiko kubwa la kisasa
✨ Mazingira ni tulivu, sana
💡 Umeme na maji unajitegemea
💰 Kodi:400,000 miezi x6
📍
📞kwenda kuona 20k malipo ya dalali
0659336751
wsp 0786085637
NOTE: NDUGU MTEJA NYUMBA HII BADO MPYAA UKILIPA UTASUBIRI ILI SIKU CHACHEE ILIUHAMIE KWANI BADO VITU VIDOGO VIDOGO VYA KUMALIZI
