Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 500,000/month

Maelezo

HIZI APARTMENT ZIPO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA YA CHINI IPO WAZI WAHI MTEJA #BEI 500K

#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VYA WASTANI
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
DAINING
STORE
PUBLICK TOILET

LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI

TAILZY GIPSAM ALUMINIUM SLIDING WINDOW PAVING BLOCK NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA

LOCATION KIMARA MWISHO DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI

BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI

NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 20 YA KITANZANIA MPAKA UPATE NYUMBA

....0688617926
....0655256419

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam

Sh. 650,000/month

For Rent4 beds3 bathsapartment