Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
1.5km
Huduma na Sifa
Maelezo
Vyumba v2 kiomja master sebule choo cha public ndan na jiko
Kod 300000 x6 wah
Zipo apartments mbili kwenye fanc moja na kilamoja inajitegemea umeme na maji
Full tailz gypsum madilisha aluminium
Nyumba ipo kimara mwisho km1.5 usafili bajaji daladala tax na boda
Galama za kupelekwa kuona 15k ukilipia utatoa mwez kwa dalali
0713661530_0783661530















