Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
6 days ago
Sh. 350,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
10km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Tiles
Paving Blocks
Uzio
Umeme
Luku Inajitegemea
Maji
Maelezo
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 20/04/2026 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA ZURI
PUBLICK TOILET
*TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
*LUKU INAJITEGEMEA
*MAJI DAWASA NDANI
*LOCATION KIMARA SUKA DK 10 TU KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD
*BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAAZARI 200,000 YA KULINDA NYUMBA
*Note kuja kuona nyumba ni shilingi ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
