Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
8m
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT NZURI KUBWA YA KUPANGA
#LOCATION: KIMARA SUKA
#Umbali wa Dakika 8 Kutembea kwa Mguu kutoka Main Road Barabara no Nzuri.
#SIFA_ZAKE
1. Sebule kubwa Sana
2. Vyumba Viwili vya Kulala vikubwa Sana
3. Jiko Kubwa lenye Makabati
4. Public Toilet nzuri ndani
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU.
#Maji DAWASA yanaflow ndani
#KODI: Tsh. 420,000 Malipo Miezi 6
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347















