Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam
Kimara, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 350,000/month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
2km — Morogoro Road
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
(350,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
Vyumba Viwili
Kimoja master
Sebule kubwa
Jiko zuri kubwa
Public toilet
Umeme na maji unajitegemea
Kila Apartment Ina tank lake la maji
Pia Kuna kisima cha reserve
Apartments zipo km 2 tu kutoka Morogoro Road
Bajaji na Boda zipo muda wote
#NB: Kuna malipo ya 10,000/= kwa mwezi kwa ajili ya usafi wa nje..ilipwe sambamba na kodi
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:











