Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kunduchi Madini, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment Kali sana Muundo yenye vyumba vi2 vya kulala kimoja master sebule kubwa jiko zuri lenye makabati inataka Laki-8 kwa mwezi Location Kunduchi Madini Call+255679188061/+255745627564.















