Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Maweni, Kigamboni, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location maweni
<> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule na jiko nzuri
◾️nyumba iko fenced
◾️nyumba ina parking
◾️nyumba ina apartment
◾️nyumba ina electric ⚡️
<> asking price 700k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837















