Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam


Mbezi, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 1,500,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
π’ Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Karibu na Masana Hospital), Dar-Es-Salaam, Tanzania πΉπΏ
Ina :
π’ Vyumba Viwili Vya Kulala (Vyote Masta), Sebule, Jiko lenye makabati, Choo Cha Public
π’ Parking Space
π’ Ina Ac
π’ Kodi inajumuisha gharama za Maji , Ulinzi, Usafi
π’ Inajitegemea Kwenye Umeme
Inafaa Airbnb au Kuishi
Kodi : 1,500,000 Tshs Kwa Mwezi















