Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Kibanda Cha Mkaa, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
2km
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA, DK 2 TOKA LAMI NJIA NZURI
__
Vyumba 2 vya kulala, HAKUNA MASTER
Sebule
Jiko
Choo cha ndani ( public )
Parking
Maji na Umeme mita yako
ππ»ππ»ππ» YA JUU NDIO IPO WAZIII
__
Kodi 250,000/= Γ 6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
__
#PIGA SIMUUUUU #0742260844_0657384670















