Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi Kibanda Cha Mkaa, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZIKIBANDA CHA MKAA KM 1 TOKA LAMI
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule kubwa
Jiko
Choo cha familia
Parking
Maji na Umeme mita yako
Ipo ndani ya fensi
👉🏻👉🏻👉🏻 YA JUU NDIO IPO WAZIII
__
Kodi 350,000/= × 6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
_
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏















