Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Moshono, Arusha
Maelezo
Tarehe: 21/08/2026
HOUSE FOR RENT ARUSHA
๐NEW FAMILY APARTMENT ๐ ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
๐Ina vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master
Aluminium windows
Sitting
Gypsum
Tiles Spain
Open Kitchen
Cabinet
Heater system
Public toilet
Maji ya Auwsa 24hrs
Luku ya umeme
Concrete wall
Car parking space ๐
๐ Shared compound
Mahali: MOSHONO
Kilometer: 1 kutoka barabara ya lami.
Bei: Laki 500,000/= kwa mwezi.
๐ฅUkipenda nyumba piga simu ukicomment utachelewa kujibiwa
๐ Service charge ( kuona nyumba): 10k
MOB: ... what's up















