Tafuta
-
-

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,200,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Bafu

1

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Tiles
Maji
Umeme
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
reserveTank

Maelezo

Apartment Mpya Kubwa Inapangishwa
Mahali: Sinza Hood

Bei: 1,200,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6

Bnb Inaruhusiwa

☑️Lami Nyumba
☑️Vyumba 2 Kimoja Master, Sebule, Jiko Na Choo (Nyumba Ni Kubwa)
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Balcony
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)

Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz

Calls & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle