Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Songea Mjini, Ruvuma

video thumbnail
Mjini, Ruvuma
7 days ago
Sh. 500,000/month

Maelezo

🏠 DALALI SONGEA
Karibu apartment ya kupanga iliyopo floor ya 3, Songea mjini. Ina vyumba 2, kimoja master, sebule pamoja na jiko zuri sana kama unavyoona kwenye video.
πŸ’° Bei: Tsh 500,000 kwa mwezi
πŸ“Œ Kodi kuanzia miezi 6
πŸ“ž Piga: 0697754511
#songea
#songea
#songeamjini
#DalaliSongea

Matangazo yanayofanana Mjini, Ruvuma