Tafuta
-
-

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Bima, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 800,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Barabara ya Karibu

4minute

Huduma na Sifa

Parking Space
AirBnb
Umeme
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Tiles

Maelezo

Apartment nzuri sana inapangishwa bei 800000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6. Ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom. Sebule. Jiko lenye makabati. Public toilet. Parking bubwa. Peving block. Air-condition & fan. Electric fence. Security guard. Heater. Umeme na maji unajitegemea. Kutoka kituoni dakika 4 hivi. Located tabata bima dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 30000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii