Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment nzuri ya bei chee inapangishwa 200000 kodi kuanzia miezi 6, ina vyumna 2 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom, sebule, dining room, jiko na public toilet, umeme na maji unajitegemea, kutoka kituoni dakika 8 hivi, hii apartment ipo maeneo ya tabata kinyerezi darajani dar es salaam
Calls/whatsapp 0653233641 au 0768682919
Service survey charge 20000
Au malipo ya dalali















